Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

SAFARI GUIDE: We are one of the leading Tour Companies in Tanzania looking for qualified driver guides to boost our guiding team. Applicants who meet the below requirements are kindly requested...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
GLOBAL BRANDBUCKET CONSULTING JOB TITLE: GRAPHICS/WEB DESIGNER STATUS: Permanent contract DEPARTMENT: Services LOCATION: Arusha PURPOSE...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Soaring Flamingo is an officially licensed tour operator specializing in safaris, trekking tours and cultural experiences in Tanzania’s Northern Circuit, but also organizing such and further...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Habari wana jf, naombeni msaada wenu, mimi ni mmojawapo ya walioitwa kwa ajali ya aptitude test pspf, japo jina langu limejirudia kama mara 3 alafu adress tofauti naendelea kujipa moyo, naomba...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
SERIKALINI Waombaji waliotuma maombi ya fursa za ajira kwa ajili ya matangazo yaliyokuwa yametolewa na Sekretarieti ya Ajira katika...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Aya Jamani changamkieni tender, acheni kulalamika, jaribu bahati yako, could be you.<br><br>Please note that, you must be fluent in French<br><br><strong> External advertisement of position of...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
We are looking for fully qualified and competent part time and full time Physics, Chemistry, Biology and Mathematics teachers. Expected Classes: - Form III up to Form IV & - Form V and VI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekutana na tangazo hili la kazi. Distribution Manager (Indian) Global Careers Company advantage. · Asians are strongly advised to apply Hii kampuni iliyotangaza tangazo hilo ipo Tanzania na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
need to know jkt mafunzo lini yanaanza
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! Katika kupitia pitia mitandao tofauti ya ajira nimekutana na tangazo la nafasi nyingi za kazi mbalimbali. Website hii imepost matangazo ya utumishi katika miezi mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jaman napenda kuuliza kwa waliofanya oral interview trh 8 mwezi wa 3 vp jaman wameita? maana kitaa hapafai ndugu zangu. kama una mwenye taarifa naomba 2juzane...., mbarikiwe sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kama kuna mtu anaweza graphic design anipigie kwa 0787754405, kazi ni kudesign pamoja na kuprint kwa kutumia mashine kubwa ya roland,tunatengeneza mabango makubwa ya matangazo.ofisi ipo dar es...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
dear wanajavi natafuta kazi yoyote inayohusu IT kama vile networking and any job related to IT,nina advanced diploma in IT, For more info use starobadia@gmail.com., thanks in advance.
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Habari zen nimejitokeza kutafta kazi ya usaidiz wa ofisi sekta yyte elimu yang kidato cha nne kwa maeneo ya mwanza na musoma
0 Reactions
3 Replies
2K Views
heshima zenu wana jf.. nimechoshwa na maisha ya kula kwa mama ntilie, nataka nijipikie mwenyewe. Naomba kufahamu ni JIKO gani la gesi 2 plates mnaweza kunishauri ninunue?? Naomba kuwasilisha wakuu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
zifuatazo ni sababu zinazoonyesha kua utumishi wa umma wataendelea kutoa majina mengine kwa ajili ya interview ni kama zifuatavyo 1.NAFASI 100 ZA WALINZI kulikua na nafasi 100 za walini ambazo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi natumaini wote wazima wa afya. Nimeonelea leo niwape mbinu za kujiajiri, jaribu hii bahati utaona mafanikio yake. Fungua attachment inaeleza vizuri soma vizuri utaona mabadiliko...
2 Reactions
14 Replies
11K Views
Napenda kuchukua nafasi kuto masikitiko yangu juu ya tangazo la utumishi la kuitwa kwenye usaili, hivi hawa watu wapo ofisini ni professional au mjomba kawaweka tu, hainiingii akilini tangazo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu hivi weshaita candidates kwenye interview ya wakurugenzi pale Mamlaka ya Bandari (TPA)?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Utumishi mbona baadhi ya taasisi hazipo, mfano taasi ya mifupa, na ocean road au mnataka wtu wajinyonge then mfute mchakato
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom