Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Tunatafuta mfanyakazi wa ndani (house girl). Tunaishi kibamba . Mimi na mke wangu ni watu wazima tumeajiri na hatuna mtoto mdogo. Awe mpenda usafi na mcha Mungu. Tutamsaidia kuendelea kielimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, kama heading inavyosomeka hapo, niko kwenye mchakato wa kufungua butcher. Kwa maana hiyo natafuta mtu mwenye uzoefu wa uuzaji wa nyama. Nategemea maeneo ya Mbagala, Dar es salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni kijana niliyemaliza masomo yangu ya degree mwaka huu ya Ugavi na manunuzi (PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT) nipo Dar natafta kazi yoyote inayohusiana na professional yangu katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sixth Floor, Harbourview Towers, Samora Avenue P O Box 72175, Dar Es Salaam, Tanzania TEL: (+255-22) 2123850; 2123853; 2123854; 2123856; FAX: (+255-22) 2123180 E-mail: info@ewura.go.tz Website...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sixth Floor, Harbourview Towers, Samora Avenue P O Box 72175, Dar Es Salaam, Tanzania TEL: (+255-22) 2123850; 2123853; 2123854; 2123856; FAX: (+255-22) 2123180 E-mail: info@ewura.go.tz Website...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Operations Clark C Duty Station:Dar-es-salaam Port Deadline for Application: 25 April 2013 Click to Apply Now Operations Officer Duty Station:Dar-es-salaam Port Deadline for Application: 25 May...
3 Reactions
15 Replies
13K Views
Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi yeyote kwenye baa,migahawa mikubwa,madukani,na mashirika mbalimbali pia hata kwa mtu nitafanya kazi, elimu yangu ni kidato cha nne,msaada wana jf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FURSA KWA MTANZANIA TO MAKE EXTRA MONEY I introduce to you “XFT”Xtreme fuel treatment:This is a Revolutionary Comprehensive fuel treatment which has been successfully used for over 20years in...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu.,tulioomba kazi Tpdc!,hawa jamaa wataita lin?,mwenye details tafadhali
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanajamii hebu nisaidien mimi nimesomea degree ya HRM hv naweza Kwel kupata kazi serikalini au ndo naweza kubaguliwa kutokana na nywele zangu. Kwa makampun binafsi je?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Moja ya vyuo vikuu vilivyopo kanda ya kaskazini kinatafuta mhadhiri msaidizi au mhadhiri kamili katika fani ya Mass Communication. Mlengwa awe walau na shahada ya uzamili (masters) katika fani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari yenu Wakuu, Naomba mnitajie Taasisi/kampuni/Idara zinazohusika na Mazingira hapa nchini kwani mimi ni mhitimu mwenye shahada inayohusika na mazingira na nimejaribu kutafuta ajira ktk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta kazi ya ualimu wa sekondari katika masomo ya kiswahili na history nimehitimu ngazi ya stashahada katika chuo cha ualimu KOROGWE TTC naomba msaada wenu wana Jf
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mwenye taarifa yoyote kuhusu hawa jamaa na nafasi walizotangaza?ni muda sasa Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani natafuta kazi kwenye field ya research au mazingira.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa kifupi mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 22 naishi DAR ES SALAAM natafuta kazi kwa mtu.elimu yangu ni form 4 na nina ujuzi katika ufundi wa computer.naweza fanya nyumbani kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anayeweza kunisaidia mdogo wangu amemaliza Chuo kikuu Ualimu sasa natafuta mtu wa kumsaidia apangiwe nyumbani kwani wazazi wanamtegemea yeye. Nipotayari kwa gharama itakayo kuwa inahtajika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kw yyte anaifaham jesh la magereza wanatoa nafas lini mwaka u
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Natafuta ajira ya kupika katika mahoteli, nina uzofu na kazi takriban miaka 2. Kwa yeyote atakaye nihitaji tuwasiliane kupitia email adress...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi ni graduate kutoka university of dar es salaam busineess school(UDBS),nimemaliza chuo mwaka huu,majoring in BCOM ACCOUNTING,naombeni msaada
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom