Natafuta kazi ya ualimu

Natafuta kazi ya ualimu

Joined
May 31, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Natafuta kazi ya ualimu wa sekondari katika masomo ya kiswahili na history nimehitimu ngazi ya stashahada katika chuo cha ualimu KOROGWE TTC naomba msaada wenu wana Jf
 
Kariiiiiiiibuuuu kwa mwendoooo wa tanita , kuna walimu wanahitajika maeneo ya MSIMBATI karibu na "kwa bibi". ni shule ya wachina wa bomba la gesi NTWARA, kama vipi usichelewe.wahi mapema kwani maombi ni mengi.
 
nenda tang bovu waulize madereva wa boda boda wakupeleke shule ya MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE SCHOOL ni sh 1000/= leta application letter zako na phocopy ya vyeti vyako. usichelewe nilisikia wanatafuta walimu. kazi kwako:smile-big:
 
Na mimi mwalimu wa degree natafuta kazi ya auwalimu nafundisha geography na masomo mengine kama history civics na ds
 
Back
Top Bottom