top kibobo
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 203
- 107
Wanajamii hebu nisaidien mimi nimesomea degree ya HRM hv naweza Kwel kupata kazi serikalini au ndo naweza kubaguliwa kutokana na nywele zangu. Kwa makampun binafsi je?
keep your dreadlocks if u grew them out of faith,dont let babylon drive you away from rightousness.apply for all kinda jobs and u will get one by the power of the Most High,Jah Rastafari.Wanajamii hebu nisaidien mimi nimesomea degree ya HRM hv naweza Kwel kupata kazi serikalini au ndo naweza kubaguliwa kutokana na nywele zangu. Kwa makampun binafsi je?
keep your dreadlocks if u grew them out of faith,dont let babylon drive you away from rightousness.apply for all kinda jobs and u will get one by the power of the Most High,Jah Rastafari.
Serikalini huwezi kabisa kuajiriwa ukiwa na rast kama wewe ni mwanaume, na hata kwenye makampuni mengi binafsi huwezi tena kwenye hiyo field yako ya hr. labda kwenye mambo ya model.
Kwa hapa tanzania wufuga rasta wanaonekena wavutabangi hata kama sio wote.
Nakushauri kama unataka ajira Serikalini ondoa hizo rasta zako. Manake naamini kabisa katika hakuna hata mtumishi mwanaume hata mmoja wa Serikali ya Tanzania ambaye anarasta.
wanawake rasta hazinashida tena zinawatoa freshwanawake je?
wanawake rasta hazinashida tena zinawatoa fresh