I'm a young Tanzanian man, currently pursuing computer studies degree in Botswana, final year. Ready and willing to work for 6months as field work. Can work well with people, both team work and...
Habari zenu wana JF, naombeni msaada wenu wa kupata INTERNSHIP katika kampuni,organization, serikalini au kwengineko as an accountant...cha muhimu hiyo sehemu iwe ni sehemu somehow...
Qualification: degree in civil/ highway engineering
Experience: at least 2 years
Deadline: 19th July 2013
Apply to: Regional manager,tanroads Kilimanjaro, box 3051,moshi
Sifa:
Apende watoto na kuwajali.
Asiwe na hasira, na awe mwenye shauku ya kujifunza.
Ajue kupika...mfano African dishes, chapati, samosa nk
Awe mbinti mwenye staha (...
Habari zenu wanaJF?Nimemaliza chuo cha ualimu mwezi wa tano mwaka huu mchepuo wa Fizikia na Biolojia...natafuta kazi ya ualimu.Nahitaji msaada wenu.Mawasiliano,ellydulla@gmail.com au 0766444050
Habari wanaJF?nimemaliza chuo cha ualimu mwaka huu mchepuo wa Physics na Biology,natafuta kazi ya ualimu popote Tz hii.Mawasiliano ellydulla@gmail.com au 0766444050
awe na cheti cha ualimu wa awali (early childhood education)
aweze kuzungumza kiingereza kwa ufasaha
awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
awe raia wa Tanzania
awe mchapakazi, anayejituma na...
WANA JF NAOMBA MSAADA KUPATA MFANYAKAZI WA NDANI, ANAYEWEZA KUISHI HAPA HAPA, MSHAHARA NNA WA KUVUTIA NA NI MAELEWANO, ningependa awe na mdhamini, iwapo tutakosa wa kuishi naye basi kwa muda...
Wanajf naombeni msaada,mimi ni kijana wa kiume,natafuta kazi kwenye restaurant,madukani,magodown,viwandani,na hata sehemu yeyote nzuri yenye kuwa na masilahi halali,elimu yangu ni form 4 ya...
Ming yong investment inatafuta transalotor wanaoweka kuongea kichina
kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa no
0758768855
tafadhali msinishambulie me ni mjumbe tuu namsaidia rafiki yangu wa...
Nahitaji moderator mzoefu kwa ajili ya kumoderate focus groups hapa jijini Dar,kama yupo ana kuna mtu anamfahamu tafadhali ani PM au anitumie msg/anibeep kwa tel nos 0655 585 490 au 0786 585...
My name is Maria and I am contacting you from Compass Languages. I just received an interpreting assignment for Wednesday, May 4th at 9:00 am at Baltimore County Circuit Court in Towson, MD.
If...
wadau naomba mwenye taazifa juu ya hili anijuze!!! Kuna uvumi kuwa huwenda huu ndo ukawa mwezi wa mwisho wa mkataba wa waajiriwa wa muda wa nbc waliokuwa chini ya Erolink coz benk imemaliza...
Wana JF naomba kufahamu hivi hizi mamlaka za maji level za mshahara kwa mtu wa degree zikoje?kwa mfano mtu alie ajiriwa Mwanza(mwauwasa),Dsm(dawasco)na mtu alie ajiriwa Songea(souwasa) wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.