Baba jiajiri mwnyw usisubiri kuajiriwa utasugua xana. Cha msingi we tafuta sehemu hata kama ni home kuna kanafasi andika bango la kujipresent talent yako, anza kazi watakuja 2. Ila usiwe muoga wa kujaribu i hope utafanikiwa. Mahitaji: compyuta yako moja ya kuwa uzia uwoga na vikorokoro vidogo vidogo km fundi utakuwa unavijua km cd za window, uza program kwa atakae.