Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

habari zenu wana jf naombeni mnifahamishe kuhusu hilo tangazo la usahili ni kwaajili ya wale walioomba kazi mwezi wa3 peke yao au ndo majina pamoja na wale wa walioomba mwezi wa 6? nielewesheni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni msichana wa miaka 22,nipo chuo nachukua "degree ya Computer Science".Kwa muda wa likizo ningependa kufanya kazi katika chombo chochote cha habari kwa kujitolea.Nia yangu ni kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naulizia vp kuhusu nafasi za kazi TPDC zilizotangazwa mwezi wa Juni 2013 majina ya walioitwa kwenye interview yameshatoka au bado? Kama yametoka yanapatikana wapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mchana wana JF. Huwa nachanganyikiwa pale napoulizwa jibu na mwenzangu tunapokuwa kwenye chumba cha usaili wa kuandika kwa ajili ya nafasi za kazi. Huwa naamini kwamba kwenye...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Check the links below for the job details. Conflict Prevention and Risk Analysis Internship (2 Positions) Manager, Faculty Recruitment and US Institutions Jobs Rwanda GIS Officer latest...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nikijana mwanamume miaka 25 mtanzania nahitaji kufanya kazi america au nchi yeyote ya ulaya na kazi yeyote ilimradi iwe halali kwa mfano bar maid , cleaner, swahili teacher, houseboy, kulimia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CRS Tanzania Country Program Vacancy – Senior Project Officer – Production Catholic Relief Services (CRS) is an international non-governmental agency specializing in relief and community...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wadau.. nilikuwa nahitaji kuuliza kiwango cha mshahara wa ASSISTANT OPERATION OFFICER , DCB BANK kwa mtu wa DIPLOMA ni kiasi gani?? Je kuna BONUS kama wafanyavyo ACCESS bANK?? Msaada plzz!!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nina uzoefu wa kufundisha hilo somo ,kama una shule na unahitaji nitafute 0759 146483
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Haya wanajamvi walioomba kazi za za tarehe husika hapo juu. Document Details | TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI-MIKOANI http://ajira.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_details&Itemid=0&gid=168
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Anatafutwa mtu aliyesomea uhasibu ngazi ya shahada. Awe na ujuzi mzuri wa kutumia tarakilishi (computer) na kama amewahi kutumia ''Finance Solution'' software itakuwa vyema sana. Kazi hii ni kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je we ni kijana chini ya miaka 30? Na je unao wateja au una jumuika na watu wengi kama shule,kazini? Na je hao jamaa zako ni watumiaji wa internet? Nunua voucher za Unlimited internet kwa bei...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
hellow,kwa wale wenzangu waliosoma public administration na human resources,mimi nlituma cv yangu nkabahatika kupata kazi kama sales executive..na sasa zimetoka nafasi za watu wa administration so...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tanzania Capacity Development for Partners of Accountability (CDPA) Contract AID-621-C-13-00002 Position: Administrative Assistant Reporting to: Operations Manager Chemonics...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, naomba mtu yoyote anayejua shule ya binafsi inayoitaji mwl wa Kemia na Biologia kidato cha kwanza mpaka kidato cha sita mkoani Dar-es-salaam anijuze. Niana uzoefu wa miaka mitatu.Unaweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hii organisation walitoa kazi za kuvolunteer siku flani lakini toka hapo sijapata kuona tena tangazo lao mwenye kujua plz naomba anijuze walifikia wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Assistant Accountant Reporting To: Senior Accountant Qualifications & Experience 1. Minimum Advanced Diploma in Accountancy. 2. 1 - 2 years experience in a large organisation, ideally within a...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
HUMAN RESOURCES MANAGER Duty Station: EWURA Head Office - Dar es Salaam Reports to: Director of Corporate Affairs Human Resources Manager will be responsible for carrying out monitoring and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wana Great thinker ni lini? nafasi za kujiunga na JWTZ zinatoka kwa mwaka huu 2013 Tujuzane kwa undani na ukaribu coz we need to join an army plz your information will be of a great thnx if...
2 Reactions
28 Replies
35K Views
Jamani Wana JF tujuzane kuhusu kinachoendele kwa wale waliomba TRA mchakato uko vipi?
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Back
Top Bottom