Nafasi ya kazi: Assistant lecturer in mass communication/media studies

Nafasi ya kazi: Assistant lecturer in mass communication/media studies

EVAVA

New Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Moja ya vyuo vikuu vilivyopo kanda ya kaskazini kinatafuta mhadhiri msaidizi au mhadhiri kamili katika fani ya Mass Communication. Mlengwa awe walau na shahada ya uzamili (masters) katika fani ya mass communication, media studies, communcation au inayofanana nayo. Anaweza pia kufikiriwa anayemalizia masters (awe amemaliza coursework) na anafanya research. Umri asizidi miaka 45

Ukiwa na shahada moja hii sio nafasi yako, usipoteze muda kuandika

Ikiwa upo serious na shida ya kazi, au una ndugu,jamaa au rafiki, tafadhali wasiliana nasi kwa email hii: smforo@yahoo.com. Ikiwa utakuwa na sifa hizo, na ukashinda interview, unaweza kuajiriwa mara moja


Mambo mengine tuwasiliane privately

Stay blessed
 
Taja jina la chuo watu watume maombi yao!!Haya mambo ya yahoo,wapi na wapi???!!
 
Wabongo mnashangaza sana. Hujaambiwa u-apply, umeambiwa kwa maelezo zaidi tuma email smforo@yahoo.com. Mwingine anasema ni scam, kwani umeombwa hela? Mimi ni raia mwema, nimepata habari kuna kitu kizuri kwa watanzania wenzangu wanaofatuta kazi, mimi sio msemaji wa hicho chuo sasa unataka nijifanye mimi ndiye mkuu wa chuo?

Kama unataka kazi, it is simple, just drop me an email and we shall communicate in private, not here where there are some drunkards who are frustrated with almost everything that seems to move!
 
Back
Top Bottom