ANAADHIRIKA MWENZENU HAPA, toeni msaada wenu tafadhari..!

ANAADHIRIKA MWENZENU HAPA, toeni msaada wenu tafadhari..!

UGOKO MKAVU

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
202
Reaction score
79
Habari yenu Wakuu,

Naomba mnitajie Taasisi/kampuni/Idara zinazohusika na Mazingira hapa nchini kwani mimi ni mhitimu mwenye shahada inayohusika na mazingira na nimejaribu kutafuta ajira ktk baadhi ya mitandao ya ajira lakini nafasi hizi zimekuwa ni nadra sana kutangazwa. Hivyo naombeni msaada wenu wadau sababu mtaani ni kugum sana na huu ni mwaka wa 3 bado bila bila.

Shukrani.
 
Unachagua kazi,maaana watu wakiona wana degree wanaona ndio kila kitu wakati team ya taifa ya Uganda ilikuwa na wachezaji kibao ambao ni degree holders.
Na pia ushauri wangu ni kwamba,kabla ya kusoma hembu kwanza weka malengo.
Mei nakushauri jiajiri,tafuta mtaji hata wa laki tano then anza biashara yoyote.
 
Mkuu natafuta kazi itakayoniwezesha kupata mtaji, hivo nina malengo ya kujiajiri endapo nitapata mtaji kwanza.
 
Back
Top Bottom