Wanajamii hebu nisaidien mimi ni nimesomea degree ya HRM hivi naweza kupata kazi serikalini au ndo naweza kubaguliwa kutokana na nywele zangu za kirastafarian? Pia natafuta kazi yoyote ile...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENTS OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/E/07 19TH July, 2013 VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of the the Public Service...
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO
Kama unamfahamu au wewe mwenyewe ni mwalimu wa shule ya sekondari na unafanya mchakato wa kuhama kutoka Arusha Manispaa kwenda Moshi Manispaa...
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO
Kama unamfahamu au wewe mwenyewe ni mwalimu wa shule ya sekondari na unafanya mchakato wa kuhama kutoka Arusha Manispaa kwenda Moshi Manispaa...
​Anahitajika Mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha masomo ya UALIMU (EDUCATION COURSE) katika taasisi ya elimu ya juu.
*Mwombaji awe Arusha/ aweze kufanya kazi Arusha
*Mwombaji awe amehitimu...
Habari wanajamvi.... Mimi ni kijana wa miaka 22. Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata division three mbovu ila nasubiria huruma za tcu maybe naweza kupata chuo. Kwa kipindi kirefu...
Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi yeyote halali angalau iwe na masilahi hasa maeneo ya dar,elimu yangu ni kidato cha tano,pia nina uzoefu ktk mauzo,unaweza kuwasiliana nami kwa email yangu...
Rafiki yangu anatafuta kazi ya Ualimu wa shule za awali.Ana cheti za kufundisha shule za awali (Nursery schools) pia anaweza hata kufundisha darasa la kwanza.Uzoefu ni zaidi ya mwaka 1,anaweza...
Hawa Tanapa tulifanya oral interview tarehe 19 mwezi juni mwaka huu wakasema watatoa majibu within reasonable time. Je kuna mtu kapigiwa cm na hawa jamaa? Naomba kuwasilisha wana jf
Wadau nawashangaa hawa Sekretarieti ya ajira ktk Utumishi wa umma kwa kitendo cha kurudia kutangaza nafasi hizo hizo bila kuita watu kufanya interview na kuwapangia vituo vya kazi.
Mfano ktk...
Hi Jf,
Ni mbinu gani rahisi itaniwezesha kupata ajira kwa haraka?
Nina advanced diploma in computer science,na sasa namaliza postgraduate diploma in finance n banking. Nimetokea kuipenda sana...
Habari zenu wana JF,mimi nina bachelor degree of commerce in accounting nime apply kazi kwa muda mrefu sasa bila mafanikio, nahisi sababu kubwa ni ukosefu wa experience.Kwa hiyo naombeni sana...
Salaam wakuu.me ni kijana wa miaka 27 niko dar es salaam,nina degree ya kwanza ya sociology na pia nina masters in development managemnet vile vile nimesoma full couse ya monitoring and...
Nina degree ya sheria na postgraduate diploma ya insurance and risk management. Natafuta kazi in that field, or an intern. Mawasiliano PM, au 0716084733.
Natanguliza shukrani za dhati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.