Nafasi za kazi tanzania port authority.

Nafasi za kazi tanzania port authority.

SIOMIMI

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
326
Reaction score
66
Operations Clark C
Duty Station😀ar-es-salaam Port

Deadline for Application: 25 April 2013
Click to Apply Now

Operations Officer
Duty Station😀ar-es-salaam Port
Deadline for Application: 25 May 2013
Click to Apply Now

Finance Officer
Duty Station😀ar-es-salaam Head Quarters
Deadline for Application: 28 April 2013
Click to Apply Now

 
Operations Clark C
Duty Station😀ar-es-salaam Port

Deadline for Application: 25 April 2013
Click to Apply Now

Operations Officer
Duty Station😀ar-es-salaam Port
Deadline for Application: 25 May 2013
Click to Apply Now

Finance Officer
Duty Station😀ar-es-salaam Head Quarters
Deadline for Application: 28 April 2013
Click to Apply Now

Nimejaribu kutafuta maelezo zaidi kuhusiana na nafasi hizo sikufanikiwa. Angalau ningejua sifa hitajika za muombaji ktk kila nafasi...!
 
kweli mkuu hata kwenye website yao hawajaweka maelezo zaidi...! tuombe tu hivyohivyo,sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia..
 
Jamani, mwenye taarifa zaidi tunaomba atujulishe kwani Web Site yao inasema Hakuna Nafasi. Au bado hawaja-update website yao?
 
hawa jamaa naona wanafanya uhuni hapa...jana niliingia kuapply online lakini kuingiza security code za kuzuia spam unakesha hazikubali,then baadaye ikawa 'no vacancies'....yaani cwasomi kabisa..
 
Operations Clark C
Duty Station😀ar-es-salaam Port

Deadline for Application: 25 April 2013
Click to Apply Now

Operations Officer
Duty Station😀ar-es-salaam Port
Deadline for Application: 25 May 2013
Click to Apply Now

Finance Officer
Duty Station😀ar-es-salaam Head Quarters
Deadline for Application: 28 April 2013
Click to Apply Now

Teh Teh Teh!!! mzee watu wa system wanakutafuta sana kupita maelezo ww unaonekana ni tapeli hizi kazi ww umezipata kwenye source ipi? na kukuakikishia mpaka saa hii wameshapata detai zako zote subiri kesho uwekwe front page ya magazeti ya bongo best wishes.

Teh Teh Teh!!!!!!! chamtemakuni utakiona unajifanya mjanja kudanganya umma.
 
utakuwa umevuta asubuhi asubuhi, hizo link mbona no vacancies
 
Alichoandika ni kweli, maana nimejalibu kuwasiliana na watu wa tpa wameniambia walikuwa wanajalibu program hii but at any time watatoa
 
Teh Teh Teh!!! mzee watu wa system wanakutafuta sana kupita maelezo ww unaonekana ni tapeli hizi kazi ww umezipata kwenye source ipi? na kukuakikishia mpaka saa hii wameshapata detai zako zote subiri kesho uwekwe front page ya magazeti ya bongo best wishes.

Teh Teh Teh!!!!!!! chamtemakuni utakiona unajifanya mjanja kudanganya umma.
Hilo sio tatizo acha wanitafute . wao waliweka kwenye wesite yao la nini na wakaamua kulitoa baada ya mda
 
utakuwa umevuta asubuhi asubuhi, hizo link mbona no vacancies
pia vice versa inaweza kuwa kweli, we umepitia leo website yao thus y unasema hivyo, mi jana mpaka naweka tangazo nilikuta hizo kazi kwenye website yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom