Kwa wale walioomba kazi chuo nelson mandela arusha. Wametoa majian kwa ajili ya interview( written)
fungua hapa The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?
1. Chuo ni kipya, bado...
Tuma CV yako kwa
BOSMAN, LIZELLE <LIZELLE.BOSMAN@eu.weatherford.com>
Kampuni inashughulika na kukodisha vifaa vya utafiti na uchimbaji wa mafuta.
hebu tembelea weatherford.com
kwa tanzania ofisi...
nimemaliza koz ya nursing(full coz) miaka 2 kwa level ya certfcat,taasis au mtu yeyt mweny hosptal na anahtaj mtu km mim tuwasliane,na km kuna mtu yeyt anawez nisaidia karb kwa msaada..!! ahsanten...
Baada ya kumaliza chuo miaka mitatu iliyopita nimeangaika kutafuta sana ajira lakini sijafanikiwa, nimepata msaada kwa msamaria mwema kanipa three options,1.kwenda law school, 2.kwenda kusoma...
Habari za jioni wana JF, natafuta nafasi ya kazi kwa dada ajili ya dada yangu. Elimu darasa la saba. kazi yoyote itakayoweza mpa kipato kwa ajili ya familia yake na watoto. Anakaa Mabibo karibu na...
za kwenu wana j.f, vp tpdc hawajaita tu jamani, maana matangazo ya kaz ni mengi, lakin feedback kama watu wamepata au hawajapata ni kidogo cjui ni kwanini!
Dear all,
I came accross this email from Tanganyika Law Society and i thought it was worth sharing. Wale wenye qualifications za kuwa MaCEO kazi kwenu.
VACANCY
CHIEF EXECUTIVE...
Ndugu zanguni!
Kuna matangazo mengi yapo kwenye mitandao ya kijamii, ambayo wanatangaza kufanya kazi online then unalipwa interms of US Dollar. Hivi hawa watu ni wa kweli ama ndo matapeli...
Hi wanajamvi, kumekuwa na kasumba kuwa watz wengi hatusaidiani au tunabaniana ikitokea nafasi. Nimeona nishee na ninyi kidogo hiki at least kama unataka kupiga box au hata kuwa professional basi...
Reference number: ITC/PVN/07/2013
Post title and level: P-5, Chief, Strategic Planning
Division, Section: Office of the Executive Director (OED) / Strategic Planning, Performance and Governance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.