Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam, nlikuwa nahitaji kazi ya muda wa mwezi mmoja (mwezi wa tisa mpaka wa kumi), nipo free kwa sasa tumefunga chuo. Namba zangu ni 0715-921818
Peace and love kwa wana jf wote, aisee jaman hivi hawa watu wa sales and marketing kwenye mabenk kiutendaji kazi huwa wanafanya nini hasa, please nitoeni matongotongo mtanzania mwenzenu katika...
Habarini
Anahitajika secretary wa muda mfupi anayejua program za Illustrator cs,
Pagemaker na application for computer, vilevile awe anajua mambo internet ni vyema zaidi.
Kuna ofisi wanamhitaji...
natumaini mko poa wanajamii
Maisha mgumu mtaani elimu ipo kazi hamna, nimeamua kujiajiri jamani tupeane tenda
kwa yeyote atakae hitaji kutengenezewa website za occasion mbalimbali kama vile...
Wakuu mambo vipi, nasikia siku hizi kuna waheshimiwa fulani wanakuunganishia kazi kiulaini lakini mwisho wa mwezi unapopokea mshahara wako unampatia commission yake mliyopatana, wakuu naomba kwa...
1. - ACOUSTIC ENGINEER/TECHNICIAN
The term 'acoustics' refers to the science of sound, the behavior of sound waves in different environments and the ways that sound energy can be transformed into...
Natafuta sales person wa kunitafutia wateja wa TRA EFDs machines. Sisi ni Suppliers wa BOLSTO SOLUTIONS LTD, MOSHI na pia tunatoa huduma arusha. Commission ni 20,000 kwa kila mashine. Tukumbuke...
Habari zenu wana JF
Makampuni gani yanaongozo kwa kuajiri na kulipa vizuri ma Civil Engineers? Especially ambao wako registered kama Professional Engineer (PEng)
Thanks.
LAPF,TRA,PPF,SUMATRA.......................n.k,walitoa nafasi za kazi tuliapply lakini majina kwaajili ya shirtlisted hayajaonekana,...TRA wametoa nyingine tena wakati hatujui kama wanaitaga kwa...
East Coast College is looking for an accounting teacher in Dar es Salaam on a part time bases who should be able to teach evening classes. for more information please call +255656143908 or send an...
Habari zenu Wananzania!
Nipo hapo kuwaasa watanzania wenzangu wote waliopo ndani na nje ya nchi wanaofanya kazi katika makampuni binafsi au popote, kwamba tuwe na moyo wa kusaidiana, kutafutiana...
wakuu mambo vipi? nimenunua dish, nimeshalifunga, sasa naitaji mtu wa kunifanyia setting dekoda yangu i mean kuniwekea freq na mambo mengine..... niko mbeya block T
Wadau wa JF, natumaini mko vyema kiafya na mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha. Naombeni msaada wa mawazo hasa katika biashara hii ya madini, niko mkoani morogoro na nina Tsh 3,000,000...
Samahani wanajamvi mimi ni fisheries officer two,natafuta mfanyakazi wa kubadilishana nae mwenye cheo grade kama yangu, kutoka Mwanga to Mwanza. msaada jamani kwa yeyote muhusika. ani pm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.