Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Please Wana Jamvi mwenye taarifa kuhusu hawa jamaa wa Sumatra na NDC Kama wamekwisha fanya call up ya Interview naomba updated
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wana jf, napenda kujuzwa kama kuna yeyeto anayefahamu kuhusu migration watatangaza lini tena kazi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mwenye taarifa kama nafasi za uaskari magereza zinatoka lini tusaidiane please
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie nijue jinsi ya kupost cv yangu mana nimejaribu nimeshindwa.maelekezo wana sema unapost kwenye link bt kila nikijaribu ku sinup kwenye link(email adress) hainip option ya kuweka cv.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
I'm looking for a network marketing (MLM) leader or someone with network marketing experience and those who are interested in Tanzania! If that's you or you know someone who is, message my inbox...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye baada ya kimya kilefu vijana wa form 4 na form 6 wameitwa rasmi kwenye usaili utakaoanza mapema mwezi ujao ili kupata vijana wenye sifa watakaokwenda kuhudhuria mafunzo ya ukakamavu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Ninajiandikisha kufanya huu mtihani hapo British council,kuna hivi vitu: Ordering the specimen pack - TZS 55,00010-hour IELTS preparation workshop - TZS 150,000. Je?ni vya...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
nimehitim chuo kikuu kwa sasa npo dar hatakama ni mkoan npo tayari ila lazima tukubaliane kwanza:contact 0682883703
0 Reactions
5 Replies
1K Views
natafta kaz ya kuendesha gar au hata ukonda kama ipo naomba unchek kwenye no. 0655549389
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nacikia wanatoaga sana tempo japo wage kidogo. ofisi zao zinaptikana sana wap hapa dsm na namna ya kuaply. naomba msada
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye taarifa jaribuni kutupia mtupe ideas na mtutoe polini mtupeleke barabarani Thnx!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Natafuta kampuni ya Assets Valuer ya jijini Dar. Tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dtb
Habarini waungwana... Mwenye updates za kazi walizotangaza DTB,naomba anijuze kama wameshaita watu kwenye interview! Aksanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba kuuliza,mbona kila nikituma application ya postal bank kupitia hiyo email address(recruitment@postalbank.co.tz) wanayotoa haiendi/Plz someone give me the soln if you have any!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna nafasi za kazi walitangaza;model of application ni kupeleka kwa mkono ofisin kwao;sasa sipajui kwa ANAEJUA LOCATION please msaada wenu jamani
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kuna mtu ana any idea what should i expect tomorrow on pspf oral interview tomorrow especially the FINANCE OFFICER post?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naishi moshi natafuta kazi ya kujitolea kwenye ofisi yoyote.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aje wandugu? Eti ni kwanini katika mahojiano ya kazi na wahindi wanauliza maswali ya familia yako. Mfano baba na mama yako wanafanya kazi gani? Kwenu mpo wangapi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
polen na majkm wakuu..!! mim ni muhtm wa kozi ya nursing(full coz) miaka 2 kwa level ya certifcat,kwa yeyt mweny hosptal au kam unaijua hosptal inayohtaj mtu km mimi,tuwasliane...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom