Jaman TRA hawajaanza Kuita???

Jaman TRA hawajaanza Kuita???

Mbona kaka angu alipigiwa pande na boss mmoja pale tra makao makuu na mwezi uliopita ameanza kazi kituo cha kigoma.au wewe unazungumzia tra ya nchi gani mkuu?
 
Kwa tulioomba nafas za asistant accountant vp jama mana tunaona kimya tu kama kuna mwenye taarifa tafadhal tujuze
 
Mbona kaka angu alipigiwa pande na boss mmoja pale tra makao makuu na mwezi uliopita ameanza kazi kituo cha kigoma.au wewe unazungumzia tra ya nchi gani mkuu?

TRA- Tanzania Revenue Authority.
 
alf wewe Perry acha kuharibu threads humu ndani unajua watu wapo serious na issue za kazi. maana hii post ya pili naona unaongea utumbo wako kama huna chakuongea fanya urudi Facebook ukatoe izo comments zako!
 
Mi naona kuna baadhi yetu bado hawajajua jinsi ya kufikisha info jamvini,kwasababu unakuta mtu kauliza kitu chenye msingi na ulazima halafu anatokea mtu anajibu kwa kukurupuka tena bila hata ya kutoa details za kutosha zinazoweza kumsaidia muulizaji.Naomba kama mtu hujui juu ya kitu kilichoulizwa ni bora ukae kimya au uweke post ambayo inahamasisha majibu na si kutupostia utumbo ambao hautusaidii!
 
Mbona kaka angu alipigiwa pande na boss mmoja pale tra makao makuu na mwezi uliopita ameanza kazi kituo cha kigoma.au wewe unazungumzia tra ya nchi gani mkuu?

Search in the Google the meaning of 'sadist'.

I am sorry to say you have similar character!
 
Back
Top Bottom