Habari za jioni wana JF, natafuta nafasi ya kazi kwa dada ajili ya dada yangu. Elimu darasa la saba. kazi yoyote itakayoweza mpa kipato kwa ajili ya familia yake na watoto. Anakaa Mabibo karibu na shule ya Loyola
Anajishughulisha na upikaji wa vitafunwa, na mwez uliopita alipata chance ya kumshikia mtu kisafisha ofisi mjin ila mwenye kaz karud yupo tu na biashara zake za kila siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.