Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
Tuma CV yako kwa
BOSMAN, LIZELLE <LIZELLE.BOSMAN@eu.weatherford.com>
Kampuni inashughulika na kukodisha vifaa vya utafiti na uchimbaji wa mafuta.
hebu tembelea weatherford.com
kwa tanzania ofisi ziko Jirani na ualozi wa india kinondoni, utaona bango la NBC Corporate BAnking, lifuate then utaona infosy house.
Tuma CV yako sasa, kitendo bila kuchelewa, kazi njenje....
Ukija ku negotiate..... dau lako la chini kabisa liwe usd 5000/=
Na ujiite senior accountant
NB
Hakikisha kazi unaiweza na kuijua, utakuwa interviewed na wahasibu wa kimataifa kutoka nje
Weatherford Services and Rentals Ltd.
'Kinondoni Infosys Building'|Plot No 17 l Block No 186030 |1st and 2nd Floor l Mwindu Lane Road l Ada Estate,Kinondoni | Dar es SalaamITanzaniaI
Main: +255 (0) 22 2668119 |