Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

GengAfrica brings you a World class event that will leave you with wide knowledge on ECOMMERCE,ENTREPRENEURSHIP & BUSINESS OVERALL. Book your seat now and get your FREE TICKET for an Amazing...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Ni namna gani ya kupata kazi wakuu? hasa kwa sasa ambao hatuna wakutushika mikono kwenye field zetu. Simjui mtu yeyote kwenye makampuni na sina ndugu huko,mimi ni mtu wa singida,manyoni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
wanajf naombeni mwenye namba za simu za nmb makao makuu anisaidie
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Eti ukituma barua wizara ya elim kuomba upangiwe kufundisha kwa mtu uliyosoma kozi isiyo ya ualim inawezekana kupangiwa?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwenye update ya hii company details zake please haipo kwa Google,inafanya nn na makao makuu yake wadau
0 Reactions
3 Replies
3K Views
JESHI LA POLISI LAMWAGA AJIRA JESHI la Polisi nchini, limetangaza ajira mpya kwa vijana waliohitimu kidato cha nne na sita mwaka jana. Taarifa za jeshi hilo, ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hello Player, I am Agent BISHOP Joh(c/o Scottish Football Association ), A soccer scout based in England. I am presently recruiting players for clubs in the England,Scotland soccer team, clubs and...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wadau Hivi katika written screening examination interveiw ya academic officer ni maswal gani yanapendwa hasa kuulizwa???? Asante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jeshi la polisi limetangaza ajira, linahitaji vijana karibu 400 toka visiwan na vijana zaidi ya 400 toka bara...mwisho wa kutuma maombi ni tar 15/9/2013...sifa uwe na ufaulu mzur wa form 4 na...
3 Reactions
22 Replies
8K Views
JOB VACANCY Precision Air Services Plc is a fast growing airline Tanzanian which operates in Partnership with Kenya Airways, with its strategies to expand wings beyond East Africa and Africa. In...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nasikia fomu za kujiunga zimetoka na bado udaili haujafanyika!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau Jf, Natafuta msichana wa kazi mwenye umri wowote kikubwa awe msafi na mchapakazi,asiwe kikojozi na awe tayari kushi Tanga mjini.Mtoto ni 1 wa kiume miaka 2 na miezi 8 sasa.Natafuta msichana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mana majina yametoka 2nd round cjabahatika na kila nikichek website yao naambiwa "could not locate remote server"..nimechanganyikiwa na deadline ni 30th august..nisaidien jaman
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nimepita katika website ya Sekretarieti ya Ajira nimeona tangazo lao la kazi kwa la Kibaha Education Center. Ni nafasi za taaluma mablimbali usije ukaona ni elimu ukapotezea. Nafasi nyingi...
4 Reactions
9 Replies
5K Views
Haya wadau jamani Tanroads Njombe Usaili tarehe 29/8/2013 jamani soma Gazeti la Daily News tarehe 22 mwezi huu.:A S 2152:
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari zenu wadau vip nauliza kuna mtu yoyote humu anataarifa kama mhasibu mkuu ameshatoa majina ya watu aliowapa udhamini kwenda kusoma post graduate?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupeane neema wakuu...sijaona vitu muhimu ninavotakiwa kuambatanisha kwenye tangazo lao..msaada kwa mwenye uelewa...nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani wanajamvi huu ni mwezi wa nane, na mwaka wa serikali unaanza mwezi wa saba,tulitarajia kutakuwa na ajira mpya kutoka utumishi lakini mpaka ninapoandika hapa,kimya kimezidi, kazi wanazotoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa upande wangu sioni faida ya kusoma, nimetafuta kazi nimechoka sasa nimeamua kuanguka chini na kumlilia mungu inawezekana kuna dhambi kubwa sana nimetenda ambazo zinazuia mafanikio yangu...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Wadau mbona majina yaliotoka kwa kujiunga kilimo na mifugo 2013/2014 nimeona ya ufugaji na uvuvi tu, vipi kuhusu kilimo??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom