natafuta kazi nimemeliza Bachelor ya Agriculture general SUA
vp nawewe kama mimi sio umemaliza mwaka ganiNdugu naomba pia unisaidie jinsi ya kutengeneza composite kwa kutumia urban waste kwani mwenzio nimejiajili nimeshindwa kutembea na bahasha nataka kulima. Naomba njia ambayo ni cost effective.
vp nawewe kama mimi sio umemaliza mwaka gani
Watanzania bwana sijui tumekuwaje? hilo alilokuuliza mkuu hapo juu labda ni indirect interview maana naona linaendana na field yako badala ya kushusha nondo unauliza swali tena!!!! No wonder mnakaa mitaani.