Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakala wa TRA katika mashine za kielectronic za risiti inatakiwa afutiwe leseni kwa kuuza machine mbovu ambazo zinawasumbua sana wateja wake ambao wengi wao ni wamiliki wa maduka na mahotel.Wakala...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Anahitajika mtu wa kujiunga na taasisi mpya ya elimu iliyoanzishwa wilaya ya Biharamulo,Mkoa wa kagera mwenye vigezo vifuatavyo:Mwenye taaluma ya ualimu kuanzia Diploma na kuendelea,Umri kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni fursa kwa wanaJamiiforums wenzangu na nimeanzia humu kama nafasi ya upendeleo.. Sifa: Awe na elimu angalau kidato cha nne na kuendelea.. Mwenye kujua kujieleza, mvumilivu na mkarimu. Pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunatafuta watu wenye ubunifu kubuni mbinu mbalimbali za uuzaji vitabu vya ujasiriamali tunavyochapisha. Malipo kwa siku ni shilingi elfu kumi (tsh. 10,000), pia nauli kuzunguka sehemu za mauzo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The following vacancies are available for newly opened car freight station (ICDV/CFS) in Chang'ombe area near National Stadium. Our objectives are; 1.Reduction of Cargo congestion at the DSM...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
please find my CV attached, Thanks you in advance.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF,ndugu yenu kesho nimeitwa G4s for an Interview,Hii company sijuhi chochote kuhusu wanavyofanya recruitment zao,Naombeni msaada wenu ndugu zangu.Ajira ni ngumu tupeane maujanja
1 Reactions
6 Replies
3K Views
1,,natamani vita itokee mda wowote, ili angalau na sisi watoto wa wakulima tupate chance jeshini.. Coz now wanaoenda especially kwa upande wa proffesionals ni watoto wa vigogo tu na wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CRS Tanzania Country Program PROGRAM: Tanzania LOCATION: Dar es Salaam REPORTS TO: Head of Programs BACKGROUND Since 2004, CRS Tanzania has led high impact...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Job Title: Regional Manager Requirements: MBA in banking and finance/CPA/equivalent Job Description: Be directly accountable for revenue generation. Retail management, client acquisition, risk...
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Jamani kila siku humu watu wanatafuta kazi tu,mbona tenda haziwekwi? hili jukwaa si la kazi tu jamani,wekeni na tenda basi tuinuane!! napokea tenda za ICT services mfano; computer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau JF, Msichana wa kitanzania umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ana diploma ya Journalism.Anatafuta kazi yeyote kama kuuza duka,kusimamia biashara yeyote au kazi yeyote unayoona inafaa kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau World Vision wanaita lini usaili??
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Naomba kujua payment za Amazon kama no safe.
0 Reactions
0 Replies
870 Views
jamani usaili wa vaccancy walizotoa TPDC june ni bado ama?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wana jamvi,natafuta kijana wa kuuza duka langu la rejareja,umri chini ya miaka 25,mshahara sh 50,000,chakula na nauli juu yangu.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
nimenda shule ya kata kujitolea kufundsha, mkuu anasema hata hela ya nauli tu shule haiwz kunpa,inakatsha tama san wadau
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta kampun au workshop ya kufanya kazi ya utengenezaj magari madogo upande wa electric system.nisaidien tafadhal
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wandungu,nashida na lize zinazotoa huduma ya Tigorusha,Airtel rusha,voda rusha na zantel mimina,naomba mnifahamishe ni njinsi gani naweza zipata? Thanks. This is Baba T,
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Kwa mdada aliye Morogoro,Swivel marketing kwa kushirikiana na Vodacon inatangaza nafasi za kazi -kwa wasichana miaka 18 na kuendelea -elimu form four na kuendelea -ajue kiswahili na kiingereza...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom