Barraza
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 481
- 270
Hii ni fursa kwa wanaJamiiforums wenzangu na nimeanzia humu kama nafasi ya upendeleo..
Sifa:
Awe na elimu angalau kidato cha nne na kuendelea..
Mwenye kujua kujieleza, mvumilivu na mkarimu. Pia awe anajiheshimu..
Tabia yoyote mbaya kwa mtu yeyote haitavumiliwa..
Awe na wadhamini wawili wenye mali zisizohamishika..
Kipaumbele:
Akiwa na ujuzi wa lugha ya Kiingereza atapewa kipaumbele..
Akiwa mkazi wa Kimara au maeneo ya jirani atapewa kipaumbele..
Mshahara:
Mshahara ni kwa makubaliano na utapanda kulingana na jitihada za kazi..
Mawasiliano:
Tuma CV yako au kama una ndugu yako anayehitaji kazi hii kwenda: b.arraza@yahoo.com
Au nitumie namba yako ya simu pamoja na sifa zako na makazi yako kwa PM tuwasiliane.