Re:Education specialist needed in Biharamulo,kagera region(URGENT)

Re:Education specialist needed in Biharamulo,kagera region(URGENT)

nyakashenyi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
139
Reaction score
49
Anahitajika mtu wa kujiunga na taasisi mpya ya elimu iliyoanzishwa wilaya ya Biharamulo,Mkoa wa kagera mwenye vigezo vifuatavyo:Mwenye taaluma ya ualimu kuanzia Diploma na kuendelea,Umri kuanzia miaka 40 na kuendelea,Jinsia yoyote.Mwenye utashi wa hili anaweza kuforward cv kwangu:wilibroadp@yahoo.com
 
Kwa kigezo cha umri umekatisha weng tamaa coz kuna graduate wengi wamemaliza sasa
 
Umri huo utawapata wapi?vijana tupo tayari wazee waacheni wapumzike!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom