Tunatafuta watu wenye ubunifu kubuni mbinu mbalimbali za uuzaji vitabu vya ujasiriamali tunavyochapisha. Malipo kwa siku ni shilingi elfu kumi (tsh. 10,000), pia nauli kuzunguka sehemu za mauzo itatolewa. Piga simu sasa 0753 12 54 74, tafadhali wale tu watakaoonesha mbinu zinazotekelezeka ndio wawasiliane nasi.