Wakala wa TRA, Advatech Supplies Company Ltd, afutiwe leseni.

Wakala wa TRA, Advatech Supplies Company Ltd, afutiwe leseni.

Joined
Aug 5, 2013
Posts
83
Reaction score
17
Wakala wa TRA katika mashine za kielectronic za risiti inatakiwa afutiwe leseni kwa kuuza machine mbovu ambazo zinawasumbua sana wateja wake ambao wengi wao ni wamiliki wa maduka na mahotel.Wakala huyu amekuwa hawafikii wateja wake muda muafaka wateja wake pindi machine zinaposumbua ukilinganisha na mawakala wenzake.Pia kampuni hii imekuwa haiwapi wafanyakazi wake mikataba zaidi ya ubabaishaji bila kuchukuliwa hatua pamoja na malalamiko mengi ya wateja wake pamoja na wafanyakazi.Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom