Anatafuta kazi .

Anatafuta kazi .

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau JF, Msichana wa kitanzania umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ana diploma ya Journalism.Anatafuta kazi yeyote kama kuuza duka,kusimamia biashara yeyote au kazi yeyote unayoona inafaa kwa umri na elimu yake.Anaishi Arusha mjini ila yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote nchini. Kwa aliye serious naomba tumsaidie apate kazi,tafadhali niPM au tuma email mbuyi83@yahoo.com .Asanteni..!
 
marafifiki zangu wengi wa journalism nimeona wakianza kwa kujitolea kwenye makampuni ya magazeti, na wanapata experience kwanza.. then wakifanya vizuri wanachaguliwa kuwa correspondents.... anyway, all the best
 
Wadau JF, Msichana wa kitanzania umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ana diploma ya Journalism.Anatafuta kazi yeyote kama kuuza duka,kusimamia biashara yeyote au kazi yeyote unayoona inafaa kwa umri na elimu yake.Anaishi Arusha mjini ila yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote nchini. Kwa aliye serious naomba tumsaidie apate kazi,tafadhali niPM au tuma email mbuyi83@yahoo.com .Asanteni..!

usijali mungu mkubwa, na atakusaidia 2 utapata!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom