Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

WanaJF, Kuna ndugu yangu ambaye anafanya kazi mkoani Mwanza anataka kuhamia Mbeya. Tafadhali kama kuna mtu yoyote anataka kwenda Mwanza kufundisha sekondari, yeye au ndugu yake, ani-PM hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau habari zenu,kwa walio wahi kufanya kazi na hawa jamaa kama ''field marketing Agents'' naomba mnijuze juu ya mazingira ya hii kazi kuanzia kupata watu na mengineyo . shukurani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunahitaji 2 Geologist Engineer mwenye uzoefu na ambaye yuko tayari kufanya kazi nje ya mji yaani vijijini Pia tunahitaji 5 welders wanaoweza kutumia bit kubwa wanasema 4 milimiter kama...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanaita wa2 job lini?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, Kwa wale walio interested na kupata scholarships hizi wachukue doc hii na kuifuatilia. Deadline of applications ni 31, May 2010. Again, shukrani kwa yule alonitumia fursa hii kwa watanzania
0 Reactions
7 Replies
2K Views
:welcome: CLICK BELOW THE LINK TO KNOW HOW TO GET MONEY FOR FREE!!!! www.MegaStoon.Com - Work Online And Get Incomes Up To 1500$ weekly
0 Reactions
3 Replies
2K Views
An upcoming restaurant requires 2 professional Chefs (Male), Cashier& Waiter to begin work towards mid/End next month. After undergoing a short training provided by the Manager...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina laki moja nifanye kazi gani itakayonilipa hapa mjini DAR ES SALAAM
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MegaStoon.Com - Work Online And Get Incomes Up To 1500$ weekly Click hiyo link hapo juu kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wadau hivi nafasi za magereza zitatoka lini????????/
0 Reactions
2 Replies
4K Views
CoNept Afya consultation, is currently seeking qualified entrepreneurs to assist with the launch of their new Home and Nutrition Product. The ideal candidates will possess a strong desire to own...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Jamani mnaotafuta kazi, jifunze namna ya kuandaa nyaraka zaNU na fikiria mara mbili mbili kabla ujakabiDHI nyaraka zako. Ofsi yetu inashughulika na "private investigation" kulingana na mahitaji ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Je unataka kulipwa kwakufanya ulozoea kufanya ukiwa internet? IKO HIVI: v Hakuna chochote chakulipa v Hakuna chochote cha kununua v Hakuna chochote cha kuuza v Ni bure kabisaa! ØHapa unalipwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tulipokuwa chuo tulijaza form za kuomba jeshi la polisi lakini mpaka sasa mbona kimya hatuoni majibu ya kuitwa kwenye interview ila tunaona majina ya form 4 na form 6 tu. mwenye taarifa kuhusiana...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
npo goms thomas sec leo hii contact 0757016611
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kunanyumba yauzwa mbezi beach,near makonde kwa bei ya sh350milion eneo linaukubwa wa 1056.25sqm,nyumba inahtajika kufanyiwa finishing and inau 5 rums,1siting rum,jiko n dyining,4 more information...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
nna nafasi za kazi kwa wataalam wa pneumatic/hydraulic system technician na heavy machines technicians walio interested wani PM
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Kiwango Bora Limited is a local building and civil contractors in Tanzania.We're looking for a technician with skills in building and civil engineering from recorganised institution. Candidate...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
kama kuna mdau ana till ya mpesa ya kuuza,nahitaji ya kununua na itakuwa poa kama muuzaji upo dar ili tuonane unihakikishie uhalali wake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom