Mata Mtanzania
Member
- Jun 7, 2013
- 63
- 7
Ni tatizo sugu sasa limekuwa kwa upande wa ajira hii ndiyo imekuwa kasumba kwa baadhi vijana kubeba vimemo kama ndiyo gate pass na utambulisho wao. kwa hii tabia nchi inaendelea kukosa nguvu kazi imara yenye kuwa na tija. nasema ikomeshwe