Jinsi ya kujiunga jwtz msaada

Jinsi ya kujiunga jwtz msaada

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,654
Reaction score
724
Bandugu mie cjapitia jkt wala mafunzo ya mgambo but naomba mnisaidie nifanyeje kujiunga jwtz,elimu yangu ni graduate 24yrs old
 
subir nafasi za jkt mweza wa 12 tht ts the only way to jwtz kama hauna wa kukushka mkôno kule
 
subir nafasi za jkt mweza wa 12 tht ts the only way to jwtz kama hauna wa kukushka mkôno kule

nimekupata mkuu,je nikienda jkt inakuaje?? na kama ningekuwa na wa kunishka mkono ningefanyaje??
 
aftr jkt unaweza kua selected kulekule kuingia jwtz kama una vgezo, m2 wa kukushka mkono i mins officer yoyote kule huwa wanapewa nafas za upendeleo kwa ndugu zao so inaweza kua rahc kwako kam utakua nae
 
Back
Top Bottom