mtaalamu wa kusuka nywele wanawake anahitajika

mtaalamu wa kusuka nywele wanawake anahitajika

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
habari zenu wana jf.
Anatafutwa mtaalamu wa kusuka nywele wanawake mitindo yote.

Sifa zake
Awe mwanamume
Awe na umri uzsiozidi miaka isiyozidi thelathini
Awe tayari tayari kuishi Singida.

NB. Malazi yatakuwepo. Yeyote anayehitaji piga simu no. 0757394254.
 
wamasai wamechoka kulinda vitasa wanazagaa mitaani wanatafuta iyo kazi.
 
habari zenu wana jf.
Anatafutwa mtaalamu wa kusuka nywele wanawake mitindo yote.

Sifa zake
Awe mwanamume
Awe na umri uzsiozidi miaka isiyozidi thelathini
Awe tayari tayari kuishi Singida.

NB. Malazi yatakuwepo. Yeyote anayehitaji piga simu no. 0757394254.

mh!!!mkuu hujafafanua ni kusuka nywele za wap?
 
Samahani ndgu yangu, kusuka nywele za wapi?? Maana dunia ishaisha hii watu wanasukana kila nywele!
 
Samahani ndgu yangu, kusuka nywele za wapi?? Maana dunia ishaisha hii watu wanasukana kila nywele!

ni nywele za kichwani mkuu, sidhani kama kuna nywele zingine zinaweza sukwa zaidi ya nywele za kichwani.
 
tatizo liko wapi mkuu? Mbona unashangaa. Wanaume ndio wasusi wazuri kuliko wanawake siku hizi.

na mm nasikia hivo. lakini kumpata msusi atakae weza mitindo yote sio kazi rahisi. ila utampata anaeweza mitindo mingi.. BTW am sure tutampata tu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom