Job seekers tuwe macho!!

Job seekers tuwe macho!!

F.c.mwanzi

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
65
Reaction score
17
Wadau habari zenu,ktk utafiti wangu mdogo nilio ufanya nimegundua hawa mawakala wa ajira wapo zaidi ya 30. wateja wao ambao ni makampuni binafsi yanayotoa ajira(walio ingia nao mikataba) si wengi hvyo yakijikuta yakigawana wateja wachache wachache!. Hii inapelekea mawakala hawa kushindwa kujiendesha vzri kutokana na upungufu wa wateja (makampuni) hvyo hulazimika kuamishia gharama hizo kwa wateja wao wa upande wa pili ( wanaotafuta na kupata ajira kupitia kwao) ndio maana mawakala wengine hukata 50 % ya mshahara wa mteja anaye pata kazi kupitia kwao .mfano unatakiwa ulipwe take home ya laki 4 kwa vile umepita kwa wakala vyo unalipwa laki 2.jamani tuthamini elimu zetu ''Soko hulia lolote lisilo na mipaka ni upumbavu'' tujaribu kushauri katika mamlaka zinazo husika ktk swala hili
 
Ahsante mkuu kwa taarifa, huu ni unyonyaji uliopitiliza.
 
ni kweli kaka, na popote pale market inapofail ni wajibu wa serikali kuingilia kati...hivyo ni jukumu la serikali na watafuta ajira wote kukemea hili swala ambao ni unyonyaji wa hali ya juu....
 
Back
Top Bottom