Salam kwenu wakuu;
Tubahitaji Logistic Officer mwenye uzoef wa miaka miwili,awe na vyeti vya VETA au NIT itaongeza uhakika wa kupata kazi hii
Tafadhali tuma haraka CV yako kwa...
Pamoja na kupata baadhi ya Insurer bado tuna mahitaji mengi ya watu hawa waliosoma Insurance na Risk Management uzoefu ni muhimu tafadhali hata mwaka mmoja,nakuomba sana tuma CV yako kwetu kwa...
mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha mlimani udsm kwa bahati mbaya sijabahatika kupata mkopo ninachoomba mtu anisaidie kupata ajira itakayoendana na ratiba yangu ya chuo ili niweze...
Hivi hii Tanzania tunaenda wapi?Tunatumia ugumu wa ajira kujinufaisha na serikali ipo inaona makampuni haya yanalipa watu wenye elimu zao mishahara kwa commission isiyofika hata kima cha chini cha...
NDUGU ZANGU MAISHA BAADA YA KUMALIZA CHUO MTAANI NI MAGUMU KAMA HAUNA MTAJI WA KUANZIA ILA KWA WAKAZI MLIOPO DAR ES SALAAM AMBAO NI GRADUATE MAISHA YA MJINI NI MAGUMU SANA HASA KAMA UMESOMA NA...
A start up mobile technology firm based in Arusha-is looking for two interns with sound experience in graphic designing and website development/maintenance: The position is not salaried but you...
Wadau
Bado hatujapata mkuu wa chuo anayekidhi vigezo vya mteja wetu,tafadhali kama unamjua mtu au una uzoefu wa kusimamia na kuongoza vyuo tutumie CV,Degree au zaidi ni muhimu,uzoefu wa...
Watu wangu wa karibu naona wanavyokomaa kuhaha katika kutafuta kazi mpya baada ya kuona alipo hapamlipi.Lengo la uzi huu linawalenga wale wanaotaka kuacha kazi A ktk kijiji Nakatunguru na kutaka...
wadau habari zenu naomba mniwe radhi kwa vile hali ya ajira imekua ngumu nimeanzisha kabiashara kangu kadogo kakuuza asali ktoka tabora lita20 kwa sh.170,000 na wine kwa sh. 15000
KUONA KAZI ZOTE ZILIZOWEKWA LEO BOFYA HAPA >> KAZI LEO
Administrative Assistant
Position Description:Creative Associates International (Creative) is an international NGO currently undertaking a...
please guys kuna nafasi zilikua zimetangazwa za kazi UK, zile kazi ni scam na sio za kweli ni wanaigeria wanataka kutake advantage ya matatizo ya kazi kama mnavyojua sasa hivi tuna wanaigeria...
Tahadhari kutoka JWTZ kuhusu uvumi wa "ajira za Wataalamu Jeshini"
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kuwataarifu Wananchi wote kuwa taarifa zilizoenea kwa njia ya ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.