Open University tujuzeni

Open University tujuzeni

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wadau tangu juzi OUT wanaita watu kwa ajili ya interview.Kuna mshikaji wangu hapa ofisini aliomba kuwa T.A wa kiswahili kaitwa aende jtatu .
Je wameita kada zote au wanaita kwa awamu?maana mwenyewe niliomba examination officer.
 
Kwa eximination officer bado maana tunaita kwa awamu
 
Back
Top Bottom