Msaada kuhusu open university

Msaada kuhusu open university

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Ndugu naomba msaada kuhusu hili,nimemaliza kidato cha nne miaka minne ilopita na nikapata daraja la nne pointi 29 Kwa mchepuo wa sanaa.ninahamu kubwa ya kujiendeleza kielimu hasa kupitia chuo kikuu huria ila sijajua kozi watoazo pia gharama zao zkoje kwa ngazi ya cheti manake ni lazima nianzie hapo.Hvyo mwenye taarifa kamil kuhusu chuo tajwa anisaidie
 
Kuwa kiwango cha kidato cha nne pekee hutaweza kupata admission yoyote Chuo kikuu huria. Vinginevyo inabidi uhakikishe cheti chako cha form four kina credits (C) tatu kisha ufanye kozi nyingine inayotambulika isiyokuwa chini ya miezi tisa. Ukiwa na ualifications hizo unaweza kuwa admitted kufanya Foundation course ambayo kama utaifaulu basi utaatanza kufanya masomo ya shahada au stashahada. Vinginevyo unatakiwa ufanye mtihani kwa kidato cha sita na kupata principle passes mbili.
 
Kuwa kiwango cha kidato cha nne pekee hutaweza kupata admission yoyote Chuo kikuu huria. Vinginevyo inabidi uhakikishe cheti chako cha form four kina credits (C) tatu kisha ufanye kozi nyingine inayotambulika isiyokuwa chini ya miezi tisa. Ukiwa na qualifications hizo unaweza kuwa admitted kufanya Foundation course ambayo kama utaifaulu basi utaatanza kufanya masomo ya shahada au stashahada. Vinginevyo unatakiwa ufanye mtihani kwa kidato cha sita na kupata principle passes mbili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom