Hospitali za serikali mkoani Dar

Hospitali za serikali mkoani Dar

PingPong

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2008
Posts
926
Reaction score
160
Waungwana naomba mnihabarishe hospitali za serikali ambazo ni bora (zenye unafuu ktk utoaji huduma) kwa mkoa wa Dar.....kuna rafiki yangu yupo nje ya nchi anahitaji kupata walau kamwanga kuhusu hilo kwani anataka kuja kufanya kazi Dar.
 
zote zina fanana tu ila Amana na Hospitali ya Taifa Muhimbili atleast zinakidhi mahitaji ingawaje kuna kasoro mbalimbali pia zipo Hosp ya Mwananyamala,Mnazi mmoja, Temeke,Magomeni.
 
zote zina fanana tu ila Amana na Hospitali ya Taifa Muhimbili atleast zinakidhi mahitaji ingawaje kuna kasoro mbalimbali pia zipo Hosp ya Mwananyamala,Mnazi mmoja, Temeke,Magomeni.

Thanks mkuu for info
 
Back
Top Bottom