F.c.mwanzi
Member
- Apr 1, 2013
- 65
- 17
Inasemekana candidates walio tuma maombi ya kazi zilizotangazwa na PCCB ni zaidi ya 34,000 katika nafasi zisizo zidi 600.kwa hali hii vigezo kama uzoefu ktk kazi,na kujuana ndivyo vitakavyo kuokoa.
Hii pia inamanisha unemployment rate ni kubwa sana kwa Taifa letu pasipo chukuliwa njia mathubuti baada ya miaka 3 or 4 ijayo ndo itakuwa kasheshe!
Ushauri; tulio apply huko kama hatuna uzoefu fulani na hatuna ndugu solution ni kupiga sala tu.