Natafuta kazi

Natafuta kazi

Pisondo

Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
29
Reaction score
1
Habari zenu wanajamvi? ninatafuta kazi ya research data collector nina uzoefu wa miaka mitatu, najua Quastionaire vizuri,najua kutumia umpc,tablets na Gps vizuri na nina cheti cha RTI International na ORB International.Elimu yangu ni kitado cha sita.
 
Cheki hapa >>>> Tanzania Job Advertisments Nenda kwenye list ya Data Collection/Data entry
 
Back
Top Bottom