I realy want a job (computer engineer)

I realy want a job (computer engineer)

TENYWA

New Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Kwanza ndugu zangu wana jf mimi niwape hongera kwa kuendelea na mjukumu ya kitanzania.Ndugu zanguni mimi nina shahada ya uhandisi wa computer,lakini bado cjapata mishe wapendwa.Hivyo basi kama kuna makampuni yanahitaji watu wa temporary kwa upande wa networking, IT support, na zinginezo nipigieni kwa namba ya simu 0718147132.Hata kama una sehemu flani unahitaji mtu makini wa kukusimamia kazi wewe nitafute.Nahitaji kulitumikia taifa jamani.Tafadhari nipo free sana kwa huu muda.
 
Cheki hapa Kwenye Sectioin ya List ya Kazi za IT >>>>> Tanzania Job Advertisments
 
Kwanza ndugu zangu wana jf mimi niwape hongera kwa kuendelea na mjukumu ya kitanzania.Ndugu zanguni mimi nina shahada ya uhandisi wa computer,lakini bado cjapata mishe wapendwa.Hivyo basi kama kuna makampuni yanahitaji watu wa temporary kwa upande wa networking, IT support, na zinginezo nipigieni kwa namba ya simu 0718147132.Hata kama una sehemu flani unahitaji mtu makini wa kukusimamia kazi wewe nitafute.Nahitaji kulitumikia taifa jamani.Tafadhari nipo free sana kwa huu muda.

unakua nini ktk IT field
 
kwanza ndugu zangu wana jf mimi niwape hongera kwa kuendelea na mjukumu ya kitanzania.ndugu zanguni mimi nina shahada ya uhandisi wa computer,lakini bado cjapata mishe wapendwa.hivyo basi kama kuna makampuni yanahitaji watu wa temporary kwa upande wa networking, it support, na zinginezo nipigieni kwa namba ya simu 0718147132.hata kama una sehemu flani unahitaji mtu makini wa kukusimamia kazi wewe nitafute.nahitaji kulitumikia taifa jamani.tafadhari nipo free sana kwa huu muda.

upo vizuri kwenye nini?
 
Mimi nipo vizuri kwenye networking na ndiyo napenda sana kwa hiyo kama kuna sehemu wanahitaji hata watu wa tempo tafadhari nijurishe. Sehemu zingine ni kwenye IT support, software designing and consultancy,
 
Ushauri. Mambo ya IT yako applicable karibia kila office nowadays. Ungejaribu peleka manually/via posta/email application lttrs katika office hizo. Ila kama una muda mrefu wa kukaa (above 4months).
 
Kwanza ndugu zangu wana jf mimi niwape hongera kwa kuendelea na mjukumu ya kitanzania.Ndugu zanguni mimi nina shahada ya uhandisi wa computer,lakini bado cjapata mishe wapendwa.Hivyo basi kama kuna makampuni yanahitaji watu wa temporary kwa upande wa networking, IT support, na zinginezo nipigieni kwa namba ya simu 0718147132.Hata kama una sehemu flani unahitaji mtu makini wa kukusimamia kazi wewe nitafute.Nahitaji kulitumikia taifa jamani.Tafadhari nipo free sana kwa huu muda.
mkuu are u ethical hacker certified ?
 
Back
Top Bottom