Ajira: meneja wa kampuni ya printing anahitajika

Ajira: meneja wa kampuni ya printing anahitajika

americana

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
84
Reaction score
37
Mimi ni mfanyabiashara hapa Arusha na kati ya biashara zangu ni hiyo ya kuprint matangazo mbali mbali kama billboards, cover za matairi ya magari, brand madirisha ya vioo n.k. mtu aliyenishawishi nifanye hiyo kazi nilimuamini na kuagiza mashie ya kisasa kabisa na makorokoro kibao. Tukafanikiwa kufungua ofisi huku huku Arusha. Tatizo ni kuwa nimekuja kugundua huyu jamaa ni mtaalam tu wa kudesign logos na matangazo mengine ila hana utaalam wa kusimamia kampuni yangu.
Kupitia hapa nadhani nitapata mtaalam wa mambo hayo kwa haraka ili nisitamani kuuza kila kitu kwenye kampuni hiyo.
Mwenye utaalam ani pm...
 
Back
Top Bottom