L LOBBIST Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15 Reaction score 1 Dec 25, 2013 #1 wadau vipi kuhusu PCCB..?bado kimya?
Domhome JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 3,198 Reaction score 3,973 Dec 25, 2013 #2 LOBBIST said: wadau vipi kuhusu PCCB..?bado kimya? Click to expand... Kuhusu nini? Jaribu kuongezea ongezea "minofu" kwenye habari yako ili sisi wadau tukusaidie...
LOBBIST said: wadau vipi kuhusu PCCB..?bado kimya? Click to expand... Kuhusu nini? Jaribu kuongezea ongezea "minofu" kwenye habari yako ili sisi wadau tukusaidie...
M MTOTO KITAA JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 245 Reaction score 116 Dec 25, 2013 #3 kutoka jikon, mambo january. shortlist tayar. ulikuwa na chet cha 7,ulipitia club za takukuru kipind cha elimu yako.
kutoka jikon, mambo january. shortlist tayar. ulikuwa na chet cha 7,ulipitia club za takukuru kipind cha elimu yako.
R reginahope Senior Member Joined Mar 26, 2013 Posts 163 Reaction score 30 Dec 26, 2013 #4 tusubiri tuone km kweli ni january
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Dec 26, 2013 #5 Me nilituma kwa email cjui wataiona.
I Israel Senior Member Joined Apr 9, 2012 Posts 171 Reaction score 39 Dec 26, 2013 #6 wanatofauti gani na secret service hawa PCCB?