Naombeni ushauri wenu

Franc chaula

Member
Feb 8, 2013
6
0
mimi ni mwanafunzi wa chuo,
huwa napata shida kutafuta kazi pindi napomaliza field zangu,naombeni ushauri nifanye nini au hata mahali kazi zinapopatikana ila ziwe za muda mfupi wa likizo sababu mimi bado mwanafunzi.
 

reginahope

Senior Member
Mar 26, 2013
163
170
kwanin ukimaliza field usiendelee kujitolee hapo ulipofanyia field? nadhan kuna watu wana miaka hadi mi4 kitaa hata tempo hawana coz tatizo la ajira ni kubwa sn.
 

theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
0
kijana uo ushaur wajuu umekaa vzr,kwakuongezea anza ujasiriamal tangia upo chuon mfano uwe unaprint t.shirts,unauza vipodoz chuo,mashat nk. wengine 2mejua after graduating be careful young kitaa akufai nataman ningekua chuo mbona hata kuna boom
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom