Info za ndani ndani kuhusu kujiunga jkt

Ruud B Nyacki

Member
Dec 31, 2012
24
0
Habari za muda huu wadau wa JF.

Nimepata taarifa za ndani kabisa,za kuhusu kujiunga na JKT kwa wale wanaotaka,

Habari za chini ya Carpet nilizozithibitisha kutoka chanzo cha ndani cha habari, zimebainisha kuwa

Nafasi za Wanaotaka Kujiunga na JKT zitatangazwa Tarehe 23 na 24 kwa baadhi ya Mikoa tu (Sijatajiwa Mikoa husika).
Km tarehe rasmi ya kufungua Maombi kwa wanaotaka Kujiunga.

So wale wenye Interest,ya ku Jiunga na jeshi la kujenga Taifa,
mjiandae mUda ndo huu

Nimeskia interview itafanyika baadhi ya mikoa tarehe 29 January.

Taarifa zaidi unaeza tembelea
website ya JKT kuanzia tarehe 23
 
lazima ukae

JF-Expert Member
May 15, 2013
729
250
Inamana vijana mmeshindwa kabisa kupata kazi sehemu zingine mpaka mkimbilie kwenye majeshi...ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni...Anyway nawatakia kilalakheri
 
Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
1,225
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa
 
Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
321
225
Inamana vijana mmeshindwa kabisa kupata kazi sehemu zingine mpaka mkimbilie kwenye majeshi...ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni...Anyway nawatakia kilalakheri
Ni sawa unachokisema. Lakini yale uliyoweza kuyafanya na ukamudu maisha yako kwa wengine wameshindwa, kama ni biashara mitaji hakuna. Basi kama sio hivyo, weka hapa mbinu za fursa watu wachangamkie.
 
Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
321
225
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa

Hivi hiyo touch screen umeinunua lini?
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,953
2,000
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa

Wewe na babaako wote ni wapuuzi, kazi ni kazi tu kuna wajeshi wako vzr class kuliko we & daddy ako
 
Ruud B Nyacki

Member
Dec 31, 2012
24
0
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa

BABA AKO AMEKUDANGANYA.FIKRA ZAKE FUPI SANA.

JESHI NI SPIRIT.KM HUNA SPIRIT HUWEZ HATA KIDOGO KU SURVIVE MAFUNZO YA KIJESHI.

KUHUSU KUFUNZWA KUUA, HAKUNA COARSE,INAYOFUNZA WATU KUUA.

KUHUSU SUALA LA ELIMU,MAISHA YAMEBADILIKA SANA.JESHI LIMEBADILIKA PIA.WATU WANA PHDS,MASTERS,NA BACHELORS KIBAOOOOO WANAFANYA JESHI.

PIA TAMBUA KWAMBA JKT,NI NJIA TU YA KUPITIA,EITHER KUWA POLIS,MAGEREZA,UAMIAJI,JWTZ,AU USALAMA WA TAIFA.

HOJA YA MSINGI: INAWEZEKANA VP MTU AMBAE HAJASOMA(km unavyoita jeshi ni kwa watu wasio soma)KUFANYA UCHUNGUZI FLANI YAKINIFU JUU YA MASWALA YA KITAIFA NA KIMATAIFA?

Mbona usalama wa taifa wana fanya kazi zao kwa ufanisi?wao si jeshi?
Kwann tunawategemea JWTZ kulinda amani ytu nje na ndani ya mipaka ya TZ kwani wana elimu gani ya kutulinda?

Mwambie babaako arudi shule.
 
Ernest Malale

Member
Aug 29, 2013
51
95
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa

Chekeshaneni kama mpo kwenye comedy,sie twavaa mabakamabaka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom