hata mimi sikupi..yani mshahara wa kwanza tu mshaanza kuomba
Usimuhukumu bure huenda hana hela na vile vile labda anafikiria kazi zaidi ya marafiki muache uone mwisho wake utakuaje.
Wee nae ulifanya vibaya kumuomba hela kwenye mshahara wake wa kwanza tu Buana sio feya!!
hata mimi sikupi..yani mshahara wa kwanza tu mshaanza kuomba
kuna jamaa yangu fulan kahusle muda fulan then kapata kazi sehemu,kabla ya hapo tulikua tunawasiliana nakutiana moyo,siku moja nilimuomba msaada kidogo akawa hana,sasa tangia hapo ata nikimcall cm hapokei,ndugu zangu tusiwe tunasahau tulipotoka jaman
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us