Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wadau. Mwenye update na hii nafasi ya ICT Officer. Interview it was November 2013...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tangu mwaka 2009 nilikua naomba kujiunga JKT nikia na cheti cha sekondar na nilikuwa na umri kati ya 18 hadi 23 kulingana na vigezo vya JKT ila nilikosa. Kwasababu napenda kupita JKT niliamua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A Microsoft scholarship provides a leg up so you can pursue undergraduate studies in computer science and related technical disciplines. You’ll join a community of scholarship recipients from the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii natumaini muwazima wa afya.Kwa ufupi mimi ni mhitimu wa kidato cha 4, mwaka 2009 ,NImehangaika sana kupata nafasi ya jkt tangu2010BILA MAFANIKIO,leo hiinafasi zimetoka pia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari zenu wanajamii, naombeni mwenye taarifa kuhusu nafasi za kazi SUA Morogoro zilizotangazwa octoba. wameishaita kwa interview?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nikijana nilie maliza elimu ya kidato cha nne (2012), Na kupata ufaulu wa Div. 4 ya 30 katika michipuo ya sayansi. Alama nilizopata nikama ifuatavyo hapo chini. Physics - D Chemistry - D...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Benki kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuita kwa ajili ya usaili wa nafasi zake ilizotangaza mwezi wa kumi.Msikae mbali na simu zenu.Nawasilisha.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
On behalf of the Tanzania Automotive Technology Centre (NYUMBU), The National Examinations Council of Tanzania (NECTA), Tanzania Institute of Accountancy (TIA), College Of Business Education...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Jkt
Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
2014 Echidna Global Scholars Program for Developing Countries, USA. The Echidna Global Scholars Program is a visiting fellowship hosted by the Center for Universal Education (CUE) at the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Role Purpose JOB PURPOSE This position will consist in providing assistance to the Corporate Secretary in their day-to-day activities related to the administration, filing and drafting of key...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Role Purpose JOB PURPOSE Managing the accounting side of corporate finance transactions for the group, including: accounting for derivatives, maintaining accounting policies on financing and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
How to Answer Salary Interview Questions: How much should we Pay YOU? By Orestes Sotta Recruitment Specialist Interview questions about salary can be tricky. When you answer questions about...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Senior Medical Officer III (One Post) Ocean Road Cancer Institute (ORCI) Area: Dar Es Salaam Direct Entry Qualifications -Holder of Doctor of Medicine Degree or its equivalent from any recognised...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bandugu naomba yeyote anayejua au aliyewahi kufanya/kujaribu kazi online anisaidie. Kazi kama "online writing jobs", au " paid social media jobs" . Je ni kazi za kweli au utapeli? I submit.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania mimi ni kijana wa miaka 21, Elimu ni form four 2012. Wakati mimi nasoma malengo yetu mimi na rafiki yangu yalikuwa ni kujiunga na jkt. Kwa maana hiyo baada ya kihitimu nikafanya mipago...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
am degree holder from UDSM, with experience of one year in teaching Biology and Chemistry in one of school at dar.contact with me on; 0682883703
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye taarifa za muhimbili nafasi za kazi walizotangaza mwezi novemba hasa ile ya assistant accountant naomba anijuze kama kuna jipya lolote make niliomba halafu naona kimya mpaka sasa
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wadau naomba mwenye kujua hili anidadafulie vzri. Mimi nina bachelor ya adults education and community development na kiu yangu ni kufanya kazi taasisi ya elimu ya watu wazima ili nkawaelimishe...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Back
Top Bottom