Msichana wa kazi anahitajika haraka

Msichana wa kazi anahitajika haraka

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,441
Reaction score
654
Awe mjuzi wa kazi za ndani na anayeweza kujituma bila kusimamiwa; umri kati ya miaka 22 na 25; elimu si chini ya kidato cha nne; awe na uwezo wa kufundisha watoto kusoma, kuandika na kuhesabu; ujuzi kidogo wa kompyuta utakuwa kivutio. Mshahara kuanzia 150,000 na maelewano yapo. Mwenye sifa hizi tafadhali ni pm na pia wana jf wanaojua contacts za wawezeshaji wa kupata mabinti please be of help
 
location wapi?kulala kwako au kwnda na kurudi?
 
Watoto wana umri gani?
Kazi zake ni zipi hasa maana hapo umebase kufundisha watoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom