There is a position for a Woman Accounts Clerk who must have at least two years experience working in accounts.
The applicant must have working knowledge of Quickbooks, Excel and email...
Enza Zaden Africa Ltd is a horticultural company that produces high quality hybrid seeds. The company is based in Tengeru, Arusha, Tanzania. It has 5 hectares of greenhouses and employs over 200...
Dear
I need the service of a qualified person with first class skill in photo editing (using photoshop and other photo editing software). I need this person to come to my studio to train my staff...
Hii ni kampuni kubwa ya kijerumani inahusika na uchimbaji wa mafuta na gas!!
Nimepitia site yao kwenye link hii ya Schlumberger .....
Naomba mpendwa yeyote mwenye kuifahamu kwa undani zaidi...
Kampuni yeyote au taasisi inayohitaji fundi naomba tuwasiliane,Elimu ni form6 nina Grade1 ya mechanics pia nilishafanya kazi Mgodini kama Driller kwa RC na DD ila niko professional zaidi kwa DD...
[*=1]29 DEC 2013 - INTRO
Hallo wadau, nimeplan kutumia muda wangu wa ziada kutengeneza Resume Website
kwa ajili ya wahitimu wa Tanzania, je ungependa iwe na features zipi?..
PROGRESS...
Wazo kwanini serikali ingepitisha sheria kwa makampuni kuajiri bili kuweka kigezo cha uzoefu. Kwani wanatutesa sana. Uzoefu mtu umetoka chuo utaupatia wapi. Mfano mtu mwaka watatu yupo kitaa...
Haya kwa wale vijana wazalendo na tuliokuwa na mapenzi mema na nchi na vyombo vyake vya ulinzi, nafasi za JKT kwa mwaka 2014 zipo hewani, tangazo kuta katika website yao yathibisha hilo. kwa...
habari wandugu. jaman kuna mtu aliyeitwa nafas zilizotangazwa nmb kanda ya kaskazini kwa bank tellers. nafasi za tangu mwezi wa kumi. natanguliza shukrani
Kwa wale mlio interested kufanya kazi kwenye mabenki na taasisi za fedha hii ni list ya hizo banks and financials institutions. Kazi kuna zile zinazotangazwa na zisizotangazwa, so unaweza kuingia...
- elimu isiyopungua form four
- umri usiopungua miaka 18
- uzoefu usiopungua miezi sita
- uchangamfu, uaminifu na nidhamu ya kazi
wasiliana nasi kupitia :
0654 74 38 25
Habari zenu wakuu,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,Taaluma yangu ni Umeme,Ninawaomba msaada wenu wa kupata nafasi ya kujitolea katika kampuni yoyote ile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.