reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
habari wandugu. jaman kuna mtu aliyeitwa nafas zilizotangazwa nmb kanda ya kaskazini kwa bank tellers. nafasi za tangu mwezi wa kumi. natanguliza shukrani
Zile wamechomekwa watu mkuu tayari mishara wameanza kulamba