Job opportunities: Tv company; deadline: 07/01/2014

Job opportunities: Tv company; deadline: 07/01/2014

Mkuu hii ni mara ya 4 naona tangazo lenu. Kweli watu hawatumi maombi au hawana sifa? Nataka nitume kwenye post ya news reporter,vipi sifa zake?
 
Wengine wanatafuta mademu kwa njia za kutangaza kazi hapa jf. Chukueni tahadhari
 
1. Flow Manager 1 post.
2. Lighting designer 1 post.
3. Sound mixer 2 posts.
4. Camera person 4 posts
5. Researcher 2 posts.
6. Host 2 posts.
7. Vision mixer 2 posts.
8. Autocue 1 post.
9. News Reporters 3 posts; Mwanza, Arusha and Dodoma.
10. News anchors 4 Posts

Send your CV to: opportunitieskamal@gmail.com or jamesinnocent31@yahoo.com
hii ndo ile interview hewa aliyoitwa ndugu yangu na kuambiwa nafasi zimejaa leo tena mnatoa tangazo khaaaa nyie watu bhana.
 
hii ndo ile interview hewa aliyoitwa ndugu yangu na kuambiwa nafasi zimejaa leo tena mnatoa tangazo khaaaa nyie watu bhana.
hebu funguka totoz maana hata kampuni hawatoi jina lake. Na mara ya 4 hii wanaleta hili tangazo
 
hebu funguka totoz maana hata kampuni hawatoi jina lake. Na mara ya 4 hii wanaleta hili tangazo

kwa kuangalia email address zao hii ni ile kampuni ilioita watu kwenye interview kisa wakawaambia nafasi zimejaa. Aliitwa ndugu yangu akaenda akajibiwa hivyo. Leo tena wanatangaza nafasi za kazi namuonyesha ndugu yangu hana hata mpango wa kuomba tena maana anajua ataitwa tena na mambo yale yale.
 
Wengine wanatafuta mademu kwa njia za kutangaza kazi hapa jf. Chukueni tahadhari

we Uledi mwenzio Juma yuko wapi? hadithi zenu za Juma na Uledi nilizipenda sana. kwani zilituundisha mambo mengi mpaka sasa. Uko sahihi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Wewe Jackson Kalazanye toa hilo Tangazo haraka!

Wacheni kuidhalilisha TV ya watu kwa njaa zenu, mwambie na huyo alokutuma njaa zenu zitawaua! Shame on you ALL
 
Last edited by a moderator:
mimi mwenyewe niliitwa kwenye intervuew kwa post ya researcher ila wapo kimya na sijawauliza nini kinachoendelea. office zao zipo maeneo ya ITV kwenye viwanda wapo opposite na kiwanda cha maji ya cool blue wanaitwa VIASAT 1 TANZANIA LIMITED
 
Back
Top Bottom