Natafuta kazi(mechanic technician) na diamond driller

Natafuta kazi(mechanic technician) na diamond driller

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
687
Reaction score
504
Kampuni yeyote au taasisi inayohitaji fundi naomba tuwasiliane,Elimu ni form6 nina Grade1 ya mechanics pia nilishafanya kazi Mgodini kama Driller kwa RC na DD ila niko professional zaidi kwa DD, emal ni rajihcassam@gmail.com
 
Jamani wana jukwaa yeyote anaeweza kunisaidia kujua mtu yeyote mwenye uhitaji wa Kuku wa Nyama, nipo Ghana-Mwanza
 
poa kijana, lakni chaka kwa sasa nyingi zimefungwa.
 
Back
Top Bottom