Advans bank bado hawajaita?

mwambojoke

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,060
630
Hey wadau kwa wale waliofanya oral interview ter 18/05/02,pale makao makuu ya Advans Bank,vip tayari wameita au ndo bra bra za mjini!
 
dah wale jamaa hawaeleweki kabisa.... bado kuna weakness kadhaa kwenye mfumo mzima wa interview hauko profesional hata mimi nilifanya tarehe 15 na hawana jipya adi sasa
 
Aya mambo ya kazi jamani tuwetunajiongeza wenyewe, ukiona huitwi kwa interview ujue haujakuwa shortlisted ingawa makampuni mengi interview ni kwa ajili ya kutimiza taratibu za kampuni kwa kutangaza kazi na kuita watu kwa interview lakini watu unakuta tayari wameshaandaliwa na wenye ndugu zao.
 
Wadau kwa kwel mim cjaelewa! Mbna hzo msg zinaoneka niza mwaka 2012? Inamaana tangu mwaka juz uliitwa kwenye intwv had leo hujaitwa kazin unadhania kwmba dado watu hawajaanza kaz tu! Vile vile mwaka jana walitangaza nafas pia deadline ilikuwa tar. 29 decmber! Na hzo vip kuna mwenye taarifa sahih? Naomba kuwakilisha!
 
Aya mambo ya kazi jamani tuwetunajiongeza wenyewe, ukiona huitwi kwa interview ujue haujakuwa shortlisted ingawa makampuni mengi interview ni kwa ajili ya kutimiza taratibu za kampuni kwa kutangaza kazi na kuita watu kwa interview lakini watu unakuta tayari wameshaandaliwa na wenye ndugu zao.

Watu wameshahama na kuhuma kitambooo. Pole by the way
 
Back
Top Bottom