Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Nahitaji msichana wa kazi za ndani na kulea watoto awe na upendo na watoto awe anajua kupika na kufanya kazi zote za ndani kazi maeneo ya tabata kimanga mshahara naanzia tsh 40000 namba ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
JAMANI HIVI HAWA JAMAA WA TCAA VP KUNA TAARIFA ZOZOTE ZA WATU KUITWA KWENYE USAILI KWENYE usaili maana walisema baada ya miezi mitatu sasa unaenda wa nne jamani ndo sehemu pekee ninayotumaini coz...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,Taaluma yangu ni ufundi umeme ngazi level 2,Naombeni msaada wenu wa kupata nafasi ya kuvolunteer katika viwanda ama kampuni yoyote ile,chuo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilipigiwa simu kuwa nimepata kazi hiyo ya TASAF baada ya kufanya usaili mwaka jana. Wote tuliopata nafasi hiyo tuliitwa na kukutana pale ukumbi wa TEC. Tukaambiwa kuwa tutaingia kuanza kazi hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wenye taarifa sahihi wandugu tusaidiane kijana wangu aliomba kazi yapata mwaka sasa, sijui kama wameshaajiri au wamefanya interview. Na inakuwaje inachukua muda mrefu hivi bila ajira????
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAFASI ZA KAZI LUKUKI. NI SERIKALINI. KWA MAELEZO ZAIDI EBU BOFYA HAPA Document Details | Tangazo la Kazi Desemba 28, 2013. HAYA KAZI NI KWAKO
2 Reactions
18 Replies
12K Views
nafasi 2 za waalimu wa diploma au degree kwa masomo ya physics chemistry,biology, na mathematics, shule ipo morogoro mjini[kihonda] kwa yeyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kwa 0713891059
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The East African Community (EAC) through the Lake Victoria Basin Commission (LVBC) Secretariat is coordinating the implementation of the 2nd Phase of the Lake Victoria Environmental Management...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
We are advertising 3 vacancies as follows: 1. Research Consultant -Minimum of first degree in Statistics or Ecomomics 2. Business Consultant -Minimum of First degree in Business Administration...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naombeni mniambie huu mshahara una range kwenye sh. ngap please.
0 Reactions
18 Replies
11K Views
The Arusha Technical College (ATC) is an autonomous institution established by the Government Notice No. 78 of 30th March 2007 that replaced the then Technical College Arusha that existed since...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
unachotakiwa ni kuandika barua inayoenda kwa mkuu wa wilaya yenye anuani yako ya mkuu wa wilaya k.k kupitia kwa mamlaka ya kijiji igongwe muhuli wa mwenyekiti uambatanishe na vivuli vya vyeti...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
naitwa Mohamed idrisa wa dar es salaam natafuta kazi ya udereva wa magari madogo.nimeitimu udereva kwenye chuo cha Veta.sichagui sehemu popot nawez kufanya kazi.kwa mawasiliano numbet yang ni 0652...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello, am Gabriel from ROLAND LTD Dar, tunaingia kikaoni tupitie cv za kuinterview for ACCOUNTANT POST i have your cv in my hands now. nataka tufanye deal. nitakusaidia upate hii kazi. salary ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni mhitimu wa shahada ya uhasibu,natafuta kazi ya kufundisha masomo ya boook keeping na commerce kwa o level,naomba mnisaidie kupata hiyo kazi maana nimekosa ajira kwa muda mrefu nitashukuru...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
naitwa Mohamed idrisa wa dar es salaam natafuta kazi ya udereva wa magari madogo.nimeitimu udereva kwenye chuo cha Veta.sichagui sehemu popot nawez kufanya kazi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From: Driver/messenger | Focus Tanzania Job Description Driver/messenger Company To work:Satguru Travel Salary: Tsh 250,000-300000 Place:Daresalaam The general duties include: 1...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf MIMI NI KIJANA AMBAYE NIMEMALIZA CHUO KIKUU UDSM MWAKA JANA SHAHADA YA JAMII KATIKA HISTORIA.NAOMBA KAMA KUNA MTU ANAWEZA NISAIDIA KUPATA AJIRA YA KUFUNDISHA SHULE ZA PRIVATE KWA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom